Genesis
Mandhari
Kwa "Genesis" kama kitabu cha Biblia tazama Mwanzo (Biblia)
Kwa "Genesis" kama kisa cha mfululizo wa TV wa Heroes, basi nenda hapa
Genesis ni bendi ya muziki aina ya rock kutoka Uingereza iliyoanzishwa mwaka 1968. Iliundwa na Peter Gabriel (mwimbaji), Anthony Phillips (gitaa), Mike Rutherford (besi na gitaa), Tony Banks (kinanda) na Chris Stewart (ngoma).
Wanachama
[hariri | hariri chanzo]- Tony Banks (kinanda): 1968-leo
- Mike Rutherford (besi na gitaa): 1968-leo
- Peter Gabriel (mwimbaji): 1968-1975
- Anthony Phillips (gitaa): 1968-1970
- Chris Stewart (ngoma): 1968
- Jonathan Silver (ngoma): 1969
- John Mayhew (ngoma): 1970
- Phil Collins (ngoma na mwimbaji): 1971-leo
- Steve Hackett (gitaa): 1971-1977
- Ray Wilson (mwimbaji): 1996-1998
Albamu
[hariri | hariri chanzo]- 1969 From Genesis to Revelation (pia In the Beginning, pia Where the Sour Turns to Sweet, pia The Silent Sun)
- 1970 Trespass
- 1971 Nursery Cryme
- 1972 Foxtrot
- 1973 Selling England by the Pound
- 1974 The Lamb Lies Down on Broadway
- 1976 A Trick of the Tail
- 1976 Wind and Wuthering
- 1977 Seconds Out
- 1978 And Then There Were Three
- 1980 Duke
- 1981 Abacab
- 1983 Genesis
- 1986 Invisible Touch
- 1991 We Can't Dance
- 1997 Calling All Stations
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani wa Ulaya bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Genesis kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |