Nenda kwa yaliyomo

Genesis

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Genesis, Italia 1982

Kwa "Genesis" kama kitabu cha Biblia tazama Mwanzo (Biblia)

Kwa "Genesis" kama kisa cha mfululizo wa TV wa Heroes, basi nenda hapa

Genesis ni bendi ya muziki aina ya rock kutoka Uingereza iliyoanzishwa mwaka 1968. Iliundwa na Peter Gabriel (mwimbaji), Anthony Phillips (gitaa), Mike Rutherford (besi na gitaa), Tony Banks (kinanda) na Chris Stewart (ngoma).

Wanachama[hariri | hariri chanzo]

Albamu[hariri | hariri chanzo]

Peter Gabriel, Oslo 1978
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani wa Ulaya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Genesis kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.