Geba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Geba ni mto katika Afrika ya Magharibi inayoanza Guinea ikipita Senegal na kufufikia Bahari ya Atlantiki katika Guinea Bisau. Ina urefu wa 540 km.

Kabla ya kufika Atlantiki mto unaanza kuwa pana hadi kufikia upana wa 16 km mdomoni kwa mji wa Bisau.

Sehemu pana inafaa meli za tani hadi 2000 kuingia ndani ya bara kwa umbali wa 140 km.