Gabrielle Ngaska

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Gabrielle Leonie Ngaska (alizaliwa 14 Aprili 1988) ni mchezaji wa soka wa nchini Kamerun na anacheza kama mshambuliaji kwenye klabu ya wanawake ya Primera Nacional club FF La Solana. Alicheza timu ya taifa ya wanawake ya kamerun katika michuano ya Wanawake wa Afrika mwaka 2012.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. 8th African Women Championship Equatorial Guinea 2012 Communiqué Match No 3 (29 October 2012). Iliwekwa mnamo 28 September 2019.
Football.svg Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Gabrielle Ngaska kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.