Nenda kwa yaliyomo

Funmilayo Ransome-Kuti

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Chief Funmilayo Ransome Kuti MON


tarehe ya kuzaliwa (1900-10-25)25 Oktoba 1900
Abeokuta, Southern Nigeria
(now Abeokuta, Ogun State)
tarehe ya kufa 13 Aprili 1978 (umri 77)
Lagos, Nigeria
ndoa Israel Oludotun Ransome-Kuti
watoto
taaluma Educator, women's rights activist

Funmilayo Ransome Kuti, MON ( /ˌfʊnmiˈlj ˈraensəm ˈkti/; 25 Oktoba 190013 Aprili 1978) alikuwa mwalimu, mwanasiasa, mwanaharakati wa kutetea haki za wanawake na kiongozi wa jadi nchini Nigeria.

Alikuwa mwanamke kiongozi maarufu sana kipindi chake, alikuwa mwanamke wa kwanza kuendesha gari nchini Nigeria.[1]

  1. Modupeolu Faseke (2001). The Nigerian woman: her economic and socio-political status in time perspective. Agape Publications. ISBN 978-9-783-5626-53. {{cite book}}: More than one of |author= na |last= specified (help)

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Funmilayo Ransome-Kuti kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.