Funmilayo Ransome-Kuti
Mandhari
Chief Funmilayo Ransome Kuti MON | |
tarehe ya kuzaliwa | Abeokuta, Southern Nigeria (now Abeokuta, Ogun State) | 25 Oktoba 1900
---|---|
tarehe ya kufa | 13 Aprili 1978 (umri 77) Lagos, Nigeria |
ndoa | Israel Oludotun Ransome-Kuti |
watoto |
|
taaluma | Educator, women's rights activist |
Funmilayo Ransome Kuti, MON ( /ˌfʊnmiˈlaɪjoʊ ˈraensəm ˈkuːti/; 25 Oktoba 1900 – 13 Aprili 1978) alikuwa mwalimu, mwanasiasa, mwanaharakati wa kutetea haki za wanawake na kiongozi wa jadi nchini Nigeria.
Alikuwa mwanamke kiongozi maarufu sana kipindi chake, alikuwa mwanamke wa kwanza kuendesha gari nchini Nigeria.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Modupeolu Faseke (2001). The Nigerian woman: her economic and socio-political status in time perspective. Agape Publications. ISBN 978-9-783-5626-53.
{{cite book}}
: More than one of|author=
na|last=
specified (help)
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Funmilayo Ransome-Kuti Na Wanawake wa Umoja wa Abeokuta, Vielelezo: Alaba Onajin, Script na maandishi: Obioma Ofoego, UNESCO, 2014
- Funmilayo Ransome-Kuti Ilihifadhiwa 10 Desemba 2007 kwenye Wayback Machine.
- Wasifu wa Fela Anikulapo Kuti (1938-1997)
- Mhairi McAlpine, "Wanawake juu ya Kushoto: Funmilayo Anikulapo-Kuti" Ilihifadhiwa 23 Julai 2012 kwenye Wayback Machine., Kimataifa Ujamaa Kundi, 8 juni 2012.
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Funmilayo Ransome-Kuti kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |