Fuka Tsunoda
Mandhari
Fuka Tsunoda (alizaliwa 24 Oktoba 2004) ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Japani ambae anacheza kama kiungo wa klabu ya wanawake ya Urawa Reds inayoshiriki ligi ya Yogibo WE huko Japani. Fuka alicheza kwa mara ya kwanza kwenye Ligi ya Yogibo WE mnamo 12 Septemba 2021.[1] [2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Fuka Tsunoda; Urawa Red Diamonds Ladies". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2023-06-01. Iliwekwa mnamo 2023-06-01.
- ↑ "Scoresheet" (PDF). weleague.jp.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Fuka Tsunoda kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |