Fubu
Mandhari
Fubu ni kijiji kinachopatikana katika wilaya ya Kyela mkoani Mbeya.
Kijiji cha fubu kinakaliwa na jamii ya Wanyakyusa ambao hujishighulisha na kilimo cha mpunga.
Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Mbeya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Fubu kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno. |