Nenda kwa yaliyomo

Frederick Gowland Hopkins

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Frederick Hopkins

Frederick Gowland Hopkins (20 Juni 186116 Mei 1947) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Uingereza. Hasa alichunguza mlo wa wanyama na kugundua vitamini. Mwaka wa 1925 alipewa cheo cha "Sir". Mwaka wa 1929, pamoja na Christiaan Eijkman alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Frederick Gowland Hopkins kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.