Nenda kwa yaliyomo

Franklin Linturi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Franklin Mithika Linturi ni mwanasiasa wa Kenya anayehudumu kama katibu wa baraza la mawaziri wa kilimo.

Hapo awali aliwahi kuwa seneta wa kaunti ya Meru katika seneti ya Kenya aliyechaguliwa katika uchaguzi mkuu wa 2017 kwa tiketi ya Chama cha Jubilee[1][2].

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. [1] Members Of The 10th Parliament Archived Juni 16, 2008, at the Wayback Machine. Parliament of Kenya. Accessed June 19, 2008.
  2. "Kitany: I was a millionaire before my life with Linturi", Business Daily, 24 September 2020. (en)