Sherwood Rowland
Mandhari
(Elekezwa kutoka Frank Sherwood Rowland)
Frank Sherwood Rowland (amezaliwa 28 Juni 1927) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza upunguaji wa ozoni. Mwaka wa 1995, pamoja na Paul Crutzen na Mario Molina alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.
Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Sherwood Rowland kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |