Mario Molina

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Tuzo Nobel.png
Mario Molina

José Mario Molina-Pasquel Henríquez (amezaliwa 19 Machi 1943) ni mwanakemia kutoka nchi ya Mexiko. Hasa alichunguza upunguaji wa ozoni mahali pa Antaktiki. Mwaka wa 1995, pamoja na Paul Crutzen na Sherwood Rowland alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia. Yeye ni Mmexiko wa kwanza kupata tuzo hiyo.

Tuzo Nobel.png Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mario Molina kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.