Nenda kwa yaliyomo

Franco Nero

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Franco Nero
Franco Nero akiwa katika moja katika filamu za western.
Franco Nero akiwa katika moja katika filamu za western.
Jina la kuzaliwa Franco Nero
Alizaliwa 23 Novemba 1941
San Prospero, Italia
Ndoa Vanessa Redgrave

Franco Nero (amezaliwa 23 Novemba 1941) ni mwigizaji filamu wa Italia, aliyewahi kuwika katika filamu za western, maarufu kama Spaghetti Western. Moja kati ya filamu alizocheza Nero ni ile ya Django, iliyochezwa mwaka 1966, hii ni miongoni mwa filamu zake ambazo zilitamba sana miaka ya 1960 na miaka ya 1970.

Tazama Pia

[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Franco Nero kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.