Francis Kahata

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Francis Kahata Nyambura (alizaliwa 4 Mei 1992) ni mchezaji wa soka wa timu ya taifa ya Kenya ambaye kwa sasa anacheza katika klabu ya Simba S.C. iliyoko nchini Tanzania.

Anacheza kama kiungo wa kushoto au kiungo mshambuliaji.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Francis Kahata kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.