Francesco De Gregori OMRI

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Francesco De Gregori OMRI

Francesco De Gregori OMRI (alizaliwa 4 Aprili 1951) ni mwimbaji na mtunzi wa nyimbo nchini Italia, ingawa yeye anapendelea kutambuliwa tu kama "msanii".[1] Anafahamika zaidi kwa jina la utani "Il Principe dei cantautori" ("The Prince of the singer-songwriters").

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Francesco De Gregori OMRI kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.