Florian Thauvin

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Florian Thauvin akiwa anamkaba mchezaji wa timu ya salzberg

Florian Thauvin (alizaliwa 26 Januari 1993) ni mchezaji wa soka wa Ufaransa ambaye anacheza kama winga wa Ligue 1 klabu ya Olympique de Marseille na timu ya taifa ya Ufaransa.

Alifanya kazi yake ya kwanza katiaka klabu ya Grenoble mwaka 2011, akiendelea Bastia ambako alishinda cheo cha Ligue 2 katika msimu wake wa kwanza na kuitwa jina la mchezaji mdogo wa mwaka.

Baadaye alihamia katiaka klabu ya Olympique de Marseille kwa 15,000,000, akiendelea kufanya michezo zaidi ya 150.

Florian ameweza kuchaguliwa katika kikosi cha Ufaransa ambacho kinawakilisha nchi katika kombe la Dunia la FIFA la mwaka 2018.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Florian Thauvin kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.