Nenda kwa yaliyomo

Florence Alice Lubega

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Florence Alice Lubega (5 Novemba 1917 – 28 Octoba 2021) alikuwa mwanasiasa na mwanamke wa kwanza wa uganda kujiunga katika bunge la uganda mei 1962[1] [2]

Maisha binafsi

[hariri | hariri chanzo]

Florence Lubega aliolewa na Saulo Lubega, mwalimu katika shule ya sekondari ya Mityana[3] na aliyewahi kuwa waziri wa fedha katika serikali ya Buganda.[4] Florence Lubega aliwapoteza watoto wake wote na alikuwa na kaka wanne; marehemu Israel Magembe Wamala (msanii wa muziki) wa Nakasajja, Kyaggwe, Wamala Steven Ssempasa anayeishi nchini Uingereza, Paul Musoke Wamala, aliyewahi kuwa mwendeshaji wa shughuli za utalii na sasa anaishi Luzira, kitongoji cha Kampala, na marehemu Wamala Herbert Dagirira.

Alifariki dunia tarehe 28 Oktoba 2021, wiki moja kabla ya kutimiza miaka 104.[5]


Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Florence Alice Lubega kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  1. ↑ "Uganda's first female legislator recounts life in corridors of power". Monitor (kwa Kiingereza). 2021-01-09. Iliwekwa mnamo 2024-07-28.
  2. ↑ "Uganda's first female legislator recounts life in corridors of". Daily Monitor (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 20 Machi 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. ↑ "Bunge la Uganda laomboleza kifo cha mbunge wa kwanza mwanamke". New Vision (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-03-06.
  4. ↑ "Mapenzi ya Lubega kwa mtoto wa kike". www.newvision.co.ug. Iliwekwa mnamo 20 Machi 2019.
  5. ↑ Mbunge wa kwanza mwanamke Uganda, Florence Alice Lubega, afariki dunia akiwa na miaka 103