Florence Ajayi
Mandhari
Florence Kikelomo Ajayi | |
Amezaliwa | 28 Aprili 1977 Nigeria |
---|---|
Nchi | Nigeria |
Kazi yake | mchezaji wa mpira wa miguu |
Florence Kikelomo Ajayi ni mchezaji wa mpira wa miguu wa nchini Nigeria ambaye alicheza kama beki katika klabu ya wanawake ya Dínamo Guadalajara nchini Uhispania.[1][2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ WHY KIKELOMO AJAYI WILL NEVER PLAY FOR FALCONS AGAIN
- ↑ Dínamo Guadalajara signs Nigerian Florence Ajayi. FFemenino.es, 20 May 2013
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Florence Ajayi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |