Fisi-bahari

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Fisi-bahari
Sea otter cropped.jpg
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli: Mammalia (Wanyama wenye viwele wanaonyonyesha wadogo wao)
Oda: Carnivora (Wanyama mbua)
Nusuoda: Caniformia (Wanyama kama mbwa)
Familia: Mustelidae (Wanyama walio na mnasaba na chororo)
Nusufamilia: Lutrinae (Wanyama wanaofanana na fisi-maji)
Jenasi: Enhydra
Spishi: E. lutris

Fisi-bahari (Enhydra lutris) ni spishi ya fisi-maji wa nusufamilia Lutrinae.

Crystal Clear app babelfish.png Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Fisi-bahari kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.