Nenda kwa yaliyomo

Filipe Luis

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Filipe Luis (2013)

Filipe Luis (alizaliwa 9 Agosti 1985), ni mchezaji wa mpira wa miguu wa timu ya taifa ya Brazili na klabu ya Atletico Madrid ya nchini Hispania anayecheza katika nafasi ya beki.

Kwa mara ya kwanza alijiunga na klabu ya Atletico Madrid akitokea ya Deportivo mwaka 2010.

Mwaka 2014 alifanikiwa kubeba taji la ligi kuu la nchini Hispania.

Mwaka 2014 alihamia katika klabu ya Chelsea ya nchini Uingereza na kufanikiwa kubeba taji la ligi kuu.

Mwaka 2015 alirudi katika klabu ya Atletico Madrid ambayo anachezea mpaka sasa.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Filipe Luis kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.