Fighting Woman News

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Jarida la kupambania haki za wanawake lilikuwa ni jarida la ku tetea  haki za wanawake wa Marekani lililoanzishwa(anza kuchapishwa) mwaka wa 1975. Likichapishwa kila robo mwaka , gazeti hili liliandika ili kutetea kuhusu sanaa ya kijeshi, kujilinda, na michezo ya kivita kwa wanawake[1][2].Iilichapisha habari na makala kuhusu mbinu na matukio mbalimbali[3].Jarida la kupambania haki za wanawake pia mara kwa mara lili amasisha makongamano ya wanawake ili kukuza kujilinda na fasihi ya sanaa ya kijeshi kwa wanawake.

Nakala zilizochapishwa za gazeti hili ziliuzwa kwa dola ya marekani $6 kwa usajili wa watu binafsi wa kila mwaka na dola ya marekani $10 kwa taasisi[4].

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Fighting Woman News", Wikipedia (kwa Kiingereza), 2021-06-27, iliwekwa mnamo 2022-07-30 
  2. "Fighting Woman News", Wikipedia (kwa Kiingereza), 2021-06-27, iliwekwa mnamo 2022-07-30 
  3. "Fighting Woman News", Wikipedia (kwa Kiingereza), 2021-06-27, iliwekwa mnamo 2022-07-30 
  4. "Fighting Woman News", Wikipedia (kwa Kiingereza), 2021-06-27, iliwekwa mnamo 2022-07-30