Nenda kwa yaliyomo

Fernando Carvalho Ferreira

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Fernando Carvalho Ferreira (alizaliwa Desemba 13 1994 huko  Ribeirão Preto) ni mwanariadha wa Brazil aliyebobea kwenye kuruka juu.[1] Aliiwakirisha nchi yake kwenye michuano ya dunia lakini hakufika fainali. Na pia alishinda medali mbili kwenye michuano ya Amerika kusini. Alishiriki mashindano ya olimpiki ya majira ya joto 2020.[2]

Ubora wake ni mita 2.30 nje (São Bernardo do Campo 2017) na mita 2.26 ndani (Nehvizdy 2020).

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Moreno Mill´n, Emilio; Bonilla, Francisco; Alonso, Juan Manuel; Casado, Fernando (2004-02). "Medical care at the VIIth International Amateur Athletics Federation World Championships in Athletics 'Sevilla '99'". European Journal of Emergency Medicine. 11 (1): 39–43. doi:10.1097/00063110-200402000-00008. ISSN 0969-9546. {{cite journal}}: Check date values in: |date= (help)
  2. Polak-Rottmann, Sebastian (2020-04-23), "Security for the Tokyo Olympics", Japan Through the Lens of the Tokyo Olympics, Routledge, ku. 130–135, iliwekwa mnamo 2021-10-08
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Fernando Carvalho Ferreira kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.