Fazila Chiyembekezo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Fazila Chiyembekezo, ni mchezaji wa mpira wa miguu wa nchini Malawi ambaye anacheza kama mshambuliaji wa klabu ya Rivers Angels na Timu ya Taifa ya Wanawake Malawi.

Klabu[hariri | hariri chanzo]

Hapo awali Chiyembekezo alichezea klabu ya Skippers nchini Malawi, baadae aliuzwa kwa mkopo katika klabu ya Rivers Angels mnamo Januari 2022.[1][2]

Ushiriki Kimataifa[hariri | hariri chanzo]

Chiyembekezo aliichezea Timu ya Taifa ya Wanawake Malawi katika mashindano Kombe la Wanawake la COSAFA 2021.[3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Fazila Chiyembekezo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.