Fayza Ahmed

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Fayza Ahmed

Ahmed mnamo 1959
Amezaliwa 1934
Amekufa 1983

Fayza Ahmed (1934 - 1983) alikuwa mwigizaji na mwimbaji wa kike wa Misri. Kipindi cha kazi yake ya uigizaji alishiriki katika filamu sita.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Fayza Ahmed kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.