Faye Kirby
Mandhari
Faye Mary Kirby (alizaliwa 5 Aprili 2004) ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Uingereza ambae anacheza kama golikipa wa klabu ya Aberdeen inayoshiriki Ligi Kuu ya Uskoti. Faye alisajiliwa kwa mkopo kutoka klabu ya Liverpool (WSL)[1] huko Uingereza akiwa na umri chini ya miaka 19[2]. Kufikia Septemba 2023, Kirby anapata nafuu kutokana na jeraha.[3][4]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Faye Kirby - Liverpool FC". www.liverpoolfc.com (kwa Kiingereza). 2023-09-17. Iliwekwa mnamo 2024-04-21.
- ↑ The Football Association. "England WU19 squad for round two of EURO qualifying". https://www.englandfootball.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2024-04-21.
{{cite web}}
: External link in
(help)|work=
- ↑ Sophie Goodwin (2023-07-28). "Aberdeen Women sign England youth international keeper Faye Kirby on loan from Liverpool in 'statement of intent'". Press and Journal (kwa Kiingereza (Uingereza)). Iliwekwa mnamo 2024-04-21.
- ↑ Sophie Goodwin (2023-09-18). "Aberdeen Women boss Clint Lancaster disappointed to lose loan goalkeeper Faye Kirby who returns to Liverpool with ACL injury". Press and Journal (kwa Kiingereza (Uingereza)). Iliwekwa mnamo 2024-04-21.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Faye Kirby kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |