Fawzia Koofi
Mandhari
Fawzia Koofi | |
---|---|
| |
Nchi | Afghanistan |
Kazi yake | mwanaharakati |
Fawzia Koofi (kwa Kiajemi: فوزیه کوفی; alizaliwa 1975)[1] ni mwanasiasa na mwanaharakati wa kutetea haki za wanawake wa nchini Afghanistan.
Mwenye asili ya watu wa Jimbo la Badakhshan, Koofi mbunge wa zamani wa Kabul na alikuwa Makamu wa rais wa Bunge la Kitaifa, pia mjumbe wa majadiliano ya amani ya Afghanistan na kundi la Taliban huko Doha, Qatar.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Fawzia, un défi aux talibans". LEFIGARO (kwa Kifaransa). 2011-02-25. Iliwekwa mnamo 2022-03-21.
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Fawzia Koofi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |