Nenda kwa yaliyomo

Fauzia Najjemba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Fauzia Najjemba
Amezaliwa Oktoba 7 2003
Uganda
Nchi Uganda
Kazi yake Mchezaji mpira
Cheo Mshambuliaji

Fauzia Najjemba (alizaliwa 7 Oktoba 2003) ni mchezaji wa soka la wanawake kutoka nchini Uganda ambaye anacheza kama mshambuliaji wa klabu ya mpira ya Kazakhstan Women's Football na timu ya Taifa ya mpira wa miguu ya wanawake ya Uganda.[1][2]

  1. "Najjemba leads cast in Fufa Women Player of the Year award". Monitor (kwa Kiingereza). 2021-11-20. Iliwekwa mnamo 2026-02-06.
  2. Joel Muyita (2019-09-20). "Kampala Queens sign highly rated forward Najjemba". Kawowo Sports (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2026-02-06.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Fauzia Najjemba kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.