Nenda kwa yaliyomo

Fatma Boussaha

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Fatma Boussaha, (alizaliwa Januari 22 ,1942 huko Zaghouan - alifariki Oktoba 27, 2015) alikuwa mwimbaji wanchini Tunisia .

Wasifu[hariri | hariri chanzo]

Kaburi la Fatma Bousaha katika makaburi ya Djellaz

Fatma Boussaha alikuwa na majina mengi kama vile Ya ami echiffour na Ya karhebt Kamel. Alijulikana kwa wimbo wake Achchibani wa wassa mnamo 1999. Jina lake la mwisho, Trabek ghali ya Touness, lilianzia kutumika mnamo 2012. Kuna wakati, alipigwa marufuku kutangaza kwenye runinga nchini Tunisia kama walivyokuwa wasanii wengine wa mezoued. [1] Boussaha alifariki Jumanne Oktoba 27, 2015 nyumbani kwake. [2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Min, Yassine Rabhi 27 Octobre 2015 at 11 H. 32 (2015-10-27). "Décès de la chanteuse populaire Fatma Boussaha". Kapitalis (kwa Kifaransa). Iliwekwa mnamo 2020-04-18.{{cite web}}: CS1 maint: numeric names: authors list (link)
  2. Maalaoui, Rym. "Qui est Fatma Boussaha ?". Directinfo (kwa Kifaransa). Iliwekwa mnamo 2020-04-18.
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Fatma Boussaha kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.