Farouk Ben Mustapha

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Farouk Ben Mustapha

Farouk Ben Mustapha (alizaliwa 1 Julai 1989) ni mchezaji wa soka timu ya taifa ya Tunisia ambaye anacheza kama kipa.

Yeye anacheza katika klabu ya Al-Shabab na aliitwa kuchezea timu yake ya taifa ya Tunisia katika Kombe la Mataifa ya Afrika 2010 lakini hakuweza kucheza katika mashindano hayo.

Mwezi Mei 2018 aliitwa jina lake katika kikosi cha kwanza cha timu ya taifa ya Tunisia mwaka 2018 katika Kombe la Dunia la FIFA 2018 nchini Urusi.

Alicheza pia kama kipa mbadala katika mchezo wa kwanza wa Kombe la Dunia ambao ulikuwa Tunisia dhidi ya England mnamo 18 Juni 2018.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Farouk Ben Mustapha kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.