Farkhunda Zahra Naderi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Farkhunda Zahra Naderi
Farkhunda Zahra Naderi

Farkhunda Zahra Naderi (kidari: فرخنده زهرا نادری kuzaliwa 19 Aprili 1981) ni mwanasiasa na mwanaharakati wa kutetea haki za wanawake huko Afghanistan. yeye ni mwanachama wa Afghanistan's High Council for National Reconciliation (HCNR) inayoongozwa na Abdullah Abdullah. Mwanzoni alihudumu kama mshauri mkuu wa rais Ashraf Ghani katika Masuala ya Umoja wa Mataifa.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Farkhunda Zahra Naderi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.