Ashraf Ghani

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ghani (2018)

Ashraf Ghani Ahmadzai (kwa Kipashto: محمد اشرف غني احمدزی / kwa Kidari: محمد اشرف غنی احمدزی‎; alizaliwa 19 Mei 1949) ni mwanasiasa, msomi, na mchumi wa Afghanistan ambaye alihudumu kama Rais wa Afghanistan.

Tarehe 15 Agosti 2021 alikimbia nchi wakati Taliban walielekea kuingia mji mkuu, Kabul. Alifika Falme za Kiarabu alipopewa hifadhi.[1][2] Makamu wake Amrullah Saleh alitangaza kwamba amechukua nafasi yake kufuatana na katiba ya nchi.[3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ashraf Ghani kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.