Nenda kwa yaliyomo

Fanendo Adi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Fanendo Adi

Fanendo Adi (alizaliwa 10 Oktoba 1990) ni mchezaji wa soka kutoka Nigeria anayecheza kama mshambuliaji.

Kimataifa

[hariri | hariri chanzo]

Adi aliichezea mara mbili timu ya Taifa chini ya miaka 23 U23 ya Nigeria mnamo mwaka 2011. Pia alikuwa katika kikosi cha wakubwa cha Nigeria kwenye mechi dhidi ya Misri katika mchujo wa Kombe la Mataifa ya Afrika 2017 mwezi Machi 2016, lakini hakucheza.[1]

Mwezi Februari 2023, Adi aliteuliwa kuwa kocha mkuu wa timu ya vijana chini ya miaka 19 ya Minnesota United Academy.[2]

Mafanikio

[hariri | hariri chanzo]

Portland Timbers

  • MLS Cup: 2015[3]
  • Mabingwa wa Kanda ya Magharibi (katika michezo ya mtoano): 2015[4]

FC Cincinnati

  • Ligi Kuu ya USL: 2018

Columbus Crew

  • MLS Cup: 2020
  1. "Delighted Fanendo Adi ready to play part in Super Eagles campaign". goal.com. 3 Machi 2016. Iliwekwa mnamo 12 Julai 2016.
  2. "MNUFC Academy Announces New Coaching and Technical Staff Additions". MNUFC.com. Iliwekwa mnamo 19 Februari 2023.
  3. "Goals, screw-ups, stats and more: Everything great from the MLS Cup Final", SBNation.com. 
  4. "Portland Timbers, fans celebrate Western Conference Championship", OregonLive.com. 

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Fanendo Adi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.