Fabriano
Mandhari
Fabriano | |
Mahali pa Fabriano katika Italia |
|
Majiranukta: 43°20′00″N 12°55′00″E / 43.33333°N 12.91667°E | |
Nchi | Italia |
---|---|
Mkoa | Marche |
Wilaya | Ancona |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 29,882 |
Tovuti: http://www.piazzalta.it/ |
Fabriano ni mji mdogo wa mkoa wa Marche nchini Italia kwenye milima ya Apenini.
Una wakazi 28,745 (30 Aprili 2024) kwenye mita 325 juu ya usawa wa bahari; eneo lote ni la kilometa mraba 272,08.
Unajulikana duniani kwa sababu ya utengenezaji wa karatasi bora kuanzia karne ya 13.
Watu maarufu
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu maeneo ya Italia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Fabriano kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |