Nenda kwa yaliyomo

Fabio Casartelli

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Fabio Casartelli (Alizaliwa 16 Agosti 197018 Julai 1995) alikuwa mwanabaiskeli wa Italia na mshindi wa medali ya dhahabu ya Olimpiki. Alifariki kutokana na ajali alipokuwa akishuka Col de Portet d'Aspet, Ufaransa, wakati wa hatua ya 15 ya Tour de France ya mwaka 1995.[1]

  1. Armstrong, Lance; Sally Jenkins (2001). It's Not About the Bike: My Journey Back to Life. New York: Penguin Group. ku. 289. ISBN 0-399-14611-3.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Fabio Casartelli kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.