Fūka Nagano

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Nagano mnamo 2024

Fūka Nagano (alizaliwa 9 Machi 1999)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Japani ambaye anacheza kama kiungo wa klabu ya Liverpool ya Ligi Kuu ya Wanawake (WSL)[2] na timu ya taifa ya Japan.[3][4]

Nagano alianza kazi yake ya uchezeaji akiwa na Urawa Reds mwaka 2014. Alijiunga na klabu ya Hyundai Steel Red Angels mwaka 2018 na baadae alirudi Japani na kucheza katika kikosi cha timu ya AS Elfen Saitama kabla ya kujiunga na klabu ya Mynavi Sendai kwa msimu wa kwanza wa Ligi ya WE. Mnamo 2022, alikwenda nje ya nchi na kujiunga na klabu ya NWSL club North Carolina Courage. Mwishoni mwa msimu, aliondoka kwenye klabu na kujiunga na Liverpool Fc inayoshiriki ligi ya wanawake ya Super League.[5][6]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Wayback Machine". web.archive.org. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-11-07. Iliwekwa mnamo 2024-04-21. 
  2. "Brynjarsdottir strike sends West Ham into last four", BBC Sport, iliwekwa mnamo 2024-04-21 
  3. "Fūka Nagano| JFA|Fūka Nagano会". www.jfa.jp. Iliwekwa mnamo 2024-04-21. 
  4. "Iwabuchi left out of Japan's World Cup squad", BBC Sport, iliwekwa mnamo 2024-04-21 
  5. "Fuka Nagano receives AFC Youth Player of the Year award | AFC". www.the-afc.com. Iliwekwa mnamo 2017-12-02. 
  6. "Summary – Nadeshiko League 1 – Japan – Results, fixtures, tables and news – Women Soccerway". us.women.soccerway.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2017-12-02. 
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Fūka Nagano kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.