Evelyn Nwabuoku

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Evelyn Nwabuoku
Amezaliwa 14 Novemba 1985
Nigeria
Nchi Nigeria
Kazi yake Mchezaji wa mpira wa miguu

Evelyn Nwabuoku (alizaliwa 14 Novemba 1985) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa Nigeria ambae anacheza kama kiungo wa klabu ya wanawake ya En Avant de Guingamp nchini Ufaransa pamoja na timu ya taifa ya Nigeria.[1][2][3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "List of Players – 2015 FIFA Women's World Cup", Fédération Internationale de Football Association. Retrieved on 2022-05-15. Archived from the original on 2016-04-10. 
  2. "Profile". FIFA.com. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-03-05. Iliwekwa mnamo 20 June 2015.  More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help); More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); Check date values in: |accessdate= (help) Archived 5 Machi 2016 at the Wayback Machine.
  3. "Biik Kazygurt sign Evelyn Nwabuoku from Rivers Angels". Goal.com. Iliwekwa mnamo 30 June 2015.  Check date values in: |accessdate= (help)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Evelyn Nwabuoku kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.