Nenda kwa yaliyomo

Eucharia Anunobi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Eucharia Anunobi alizaliwa tarehe 25 Mei 1965 ni muigizaji na mtayarishaji wa filamu wa nchini Nigeria ,pia ni Mchungaji,amejulikana Zaidi katika filamu alocheza iitwayo Abuja Connection.[1] alichaguliwa katika tuzo za Africa Magic Viewers' Choice Awards kama mshirikishwaji bora wa kike wa filamu na tamthilia.[2]

Maisha ya Awali[hariri | hariri chanzo]

Eucharia alizaliwa Owerri, alihitimu elimu yake ya msingi na sekondari na baadae kuendelea na masomo katika chuo cha Insititute of management technology,Enugu na kupata astashada ya mawasiliano [3] pia ana degree ya lugha ya Kiingereza aloipata katika chou kikuuu cha Nigeria, Nsukka. Eucharia alianza kutokea katika filamu ya Glamour Girls ya mwaka 1994 na baadae kuonekana Zaidi katika filamu nyingi ikiwemo Abuja Connection na Letters to a Stranger.[4] kwa sasa anahudumu kama muinjilisti katika kanisa la Egbeda,katika jimbo Lagos.[5] Eucharia alimpoteza mtoto wa kiume Raymond ambae alikuwa kimpambambanua kama rafiki yake [6] alofariki kwa uogonjwa wa seli nundu mnamo mwaka 2017 akiwa na miaka 15.[7]

Filamu[hariri | hariri chanzo]

 • Small Chops (2020)
 • The Foreigner's God (2018)
 • Breaking Heart (2009)
 • Heavy Storm (2009)
 • Desire (2008)
 • Final Tussle (2008)
 • My Darling Princess (2008)
 • Black Night in South America (2007)
 • Area Mama (2007)
 • Big Hit (2007)
 • Bird Flu (2007)
 • Confidential Romance (2007)
 • Cover Up (2007)
 • Desperate Sister (2007)
 • Drug Baron (2007)
 • Fine Things (2007)
 • Letters to a Stranger (2007)
 • Sacred Heart (2007)
 • Short of Time (2007)
 • Sister’s Heart (2007)
 • Spiritual Challenge (2007)
 • The Trinity (2007)
 • Titanic Tussle (2007)
 • When You are Mine (2007)
 • Women at Large (2007)
 • 19 Macaulay Street (2006)
 • Emotional Blunder (2006)
 • Evil Desire (2006)
 • Heritage of Sorrow (2006)
 • Joy of a Mother (2006)
 • My Only Girl (2006)
 • Occultic Wedding (2006)
 • Thanksgiving (2006)
 • The Dreamer (2006)
 • Unbreakable Affair (2006)
 • 100% Husband (2005)
 • Dangerous Blind Man (2005)
 • Dorathy My Love (2005)
 • Extra Time (2005)
 • Family Battle (2005)
 • Heavy Storm (2005)
 • Home Apart (2005)
 • No Way Out (2005)
 • Rings of Fire (2005)
 • Second Adam (2005)
 • Secret Affairs (2005)
 • Shadows of Tears (2005)
 • Sins of My Mother (2005)
 • The Bank Manager (2005)
 • To Love a Stranger (2005)
 • Torn Apart (2005)
 • Total Disgrace (2005)
 • Tricks of Women (2005)
 • Unexpected Mission (2005)
 • War for War (2005)
 • Abuja Connection (2004)
 • Deadly Kiss (2004)
 • Deep Loss (2004)
 • Diamond Lady 2: The Business Woman (2004)
 • Expensive Game (2004)
 • Falling Apart (2004)
 • For Real (2004)
 • Home Sickness (2004)
 • Last Decision (2004)
 • Love & Marriage (2004)

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

 1. "Why I’m missing on social scene – Eucharia Anunobi", 6 July 2013. Retrieved on 25 July 2015. 
 2. "AMVCA 2020". Africa Magic - AMVCA 2020 (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-02-22. Iliwekwa mnamo 2020-10-10. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)
 3. "How actress, Eucharia Anunobi snubbed her mother". Information Nigeria. 15 Agosti 2012. Iliwekwa mnamo 25 Julai 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
 4. "How actress, Eucharia Anunobi snubbed her mother". Information Nigeria. 15 Agosti 2012. Iliwekwa mnamo 25 Julai 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
 5. Henry Ojelu (7 Februari 2012). "Nollywood Actress, Eucharia Ordained Pastor". P.M. News. Iliwekwa mnamo 25 Julai 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
 6. "My late son was my best friend –Eucharia Anunobi". The Punch News Paper.
 7. "Eucharia Anunobi loses only son". The Punch Newspapers.
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Eucharia Anunobi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.