EU
Mandhari
(Elekezwa kutoka Eu)
Tafadhali saidia kuboresha makala hii kwa kuipanua. Ili kupata sababu angalia ukurasa wa majadiliano. |
EU ni kifupi kinachotumika zaidi kimataifa kwa Umoja wa Ulaya (Kiingereza: European Union, Kijerumani: Europäische Union, lakini UE kwa Kifaransa, Kiitalia na lugha za Kirumi: Union Européenne na kadhalika).
Pamoja na hii EU au eu ni pia kifupi cha:
- Kodi ya IATA ya Ecuatoriana, Ekuador
- Kodi ya ISO 639-1 ya lugha ya Kibaski