Nenda kwa yaliyomo

Esther Okhae

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Esther Ochae (alizaliwa 12 Machi 1986) ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Nigeria ambae anacheza kama golikipa wa timu ya taifa ya wanawake ya Nigeria. Alishiriki na timu yake ya taifa katika Kombe la Dunia la FIFA la mwaka 2003.[1]

  1. "FIFA Women's World Cup USA 2003 - Technical Report" (PDF). FIFA Women's World Cup United States 2003. FIFA. 2003. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2011-12-26. Iliwekwa mnamo 2007-09-28. {{cite web}}: More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Esther Okhae kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.