Nenda kwa yaliyomo

Ester Michael Mmasi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ester Michael Mmasi ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CCM. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Viti maalum vya wanawake kwa miaka 20152020. [1]

  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania Archived 25 Januari 2020 at the Wayback Machine., iliangaliwa Mei 2017