Nenda kwa yaliyomo

Ester Alexander Mahawe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ester Alexander Mahawe alikua mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CCM. Alichaguliwa kuwa mbunge wa Viti maalum vya wanawake kwa miaka 20152020. [1].

Aliteuliwa kuwa mkuu wa Wilaya ya Kigoma kuanzia mwaka 2021. Katika uteuzi uliofanyika mapema mwaka 2023 na Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, alihamishiwa Wilaya ya Mbozi iliyopo Mkoa wa Songwe.

Alikua mstari wa mbele katika kuhakikisha wasichana wanapata elimu bora kwa ajili ya maendeleo ya wilaya na mkoa kwa ujumla.

  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania Ilihifadhiwa 25 Januari 2020 kwenye Wayback Machine., iliangaliwa Mei 2017
Makala hii kuhusu kuhusu mwanasiasa wa Tanzania bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ester Alexander Mahawe kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.