Ernest Napoleon
Mandhari
Ernest Napoleon ni mwigizaji na mtayarishaji wa filamu wa Urusi mwenye asili ya Tanzania[1][2]
Historia
[hariri | hariri chanzo]Ernest alizaliwa mjini Moscow Urusi ikiwa upande wa baba ni Mtanzania na mama Mrusi, Familia yake ilihamia Tanzania alipokuwa na umri wa miaka mitano.[3] aliishi Dar es Salaam, Tanzania kwa miaka 14 na Los Angeles kwa miaka 8, kwa sasa alihamia Stockholm Uswidi.[4]
Filmography
[hariri | hariri chanzo]Mwaka | Filamu | Uhusika | Aina | Marejeo. |
---|---|---|---|---|
2015 | Going Bongo | Mtayarishaji mkuu, mwandishi, mwigizaji | Filamu | [5] |
2017 | Kiumeni | Mtayarishaji mkuu, mwandishi, mwigizaji | Filamu | [6] |
2022 | Peponi | Mtayarishaji, mwandishi, mwigizaji | Filamu | [7] |
TBD | Let No Man Know | Mtayarishaji | Filamu | [8] |
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ https://web.archive.org/web/20201113192712/https://www.my-mip.com/en/Contributors/9064800/Ernest-Napoleon
- ↑ https://www.africanindy.com/culture/african-film-stars-on-la-red-carpet-13322875
- ↑ https://web.archive.org/web/20201113192712/https://www.my-mip.com/en/Contributors/9064800/Ernest-Napoleon
- ↑ https://web.archive.org/web/20201113192712/https://www.my-mip.com/en/Contributors/9064800/Ernest-Napoleon
- ↑ https://www.imdb.com/title/tt2380390/
- ↑ https://www.imdb.com/title/tt6228308/
- ↑ https://www.imdb.com/title/tt10319442/
- ↑ https://www.imdb.com/name/nm5275929/
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Ernest Napoleon kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |