Eneo bunge la Kipkelion
Mandhari
Eneo bunge la Kipkelion ni eneo la uchaguzi nchini Kenya. Ni mojawapo wa maeneo bunge sita katika Kaunti ya Kericho.
Eneo Bunge hili lilianzishwa kwa ajili ya uchaguzi wa 1988.
Wabunge
[hariri | hariri chanzo]Mwaka wa Uchaguzi | Mbunge [1] | Chama | Vidokezo |
---|---|---|---|
1988 | Richard Kipnge’no Koech | KANU | Mfumo wa chama kimoja. |
1990 | W. K. Kikwai | KANU | Uchaguzi, Mfumo wa chama kimoja. |
1992 | Daniel K. arap Tanui | KANU | |
1997 | Samuel K. A. Rotich | KANU | |
2002 | Sammy Kipkemoi Rutto | KANU | |
2007 | Kiprono Langat | ODM |
Locations and wards
[hariri | hariri chanzo]Kata | |
Kata | Idadi ya Watu |
---|---|
Barsiele | 5,020 |
Chepsegon | 12,895 |
Chilchila | 10,312 |
Kamasia | 12,700 |
Kapkoros | 7,987 |
Kapseger | 10,881 |
Kedowa | 13,009 |
Kimugul | 11,277 |
Kipchoran | 8,242 |
Kipsegi | 9,894 |
Kipsirichet | 10,260 |
Kipteris | 6,368 |
Kokwet | 11,519 |
Kunyak | 7,563 |
Lemotit | 9,361 |
Lesirwa | 5,413 |
Londiani | 12,168 |
Masaita | 10,237 |
Sorget | 8,755 |
Tendeno | 6,526 |
Jumla | x |
Sensa ya 1999 . |
Wadi | ||
Wadi | Wapiga kura waliosajiliwa | Serikali ya Mtaa |
---|---|---|
Barsiele | 4,097 | Mji wa Kipkelion |
Chesinende | 4,645 | Mji wa Kipkelion |
Kimugul | 3,717 | Mji wa Kipkelion |
Lesirwa | 3,313 | Mji wa Kipkelion |
Kedowa | 4,775 | Mji wa Londiani |
Kipsirichet | 3,667 | Mji wa Londiani |
Londiani | 4,825 | Mji wa Londiani |
Masaita / Tuiyobei | 3,184 | Mji wa Londiani |
Cheboswa | 5,751 | Baraza la Mji wa Kipsigis |
Chilchila | 3,349 | Baraza la Mji wa Kipsigis |
Kamasian | 6,281 | Baraza la Mji wa Kipsigis |
Kapseger | 3,284 | Baraza la Mji wa Kipsigis |
Kipteres | 2,231 | Baraza la Mji wa Kipsigis |
Kokwet | 3,500 | Baraza la Mji wa Kipsigis |
Kunyak | 4,487 | Baraza la Mji wa Kipsigis |
Lemotit | 2,580 | Baraza la Mji wa Kipsigis |
Sorget | 3,464 | Baraza la Mji wa Kipsigis |
Tendeno | 2,347 | Baraza la Mji wa Kipsigis |
Jumla | 69,497 |
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Center for Multiparty Democracy: Politics and Parliamenterians in Kenya 1944-2007 Ilihifadhiwa 28 Februari 2008 kwenye Wayback Machine.