Emomali Rahmon

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Emomali Rahmon (kwa Kitajiki: Эмомалӣ Раҳмон; amezaliwa 5 Oktoba 1952) ni mwanasiasa wa Tajikistani ambaye amewahi kuwa Rais wa Tajikistan (au wadhifa sawa na huo) tangu mwaka 1992. Utawala wake unatazamwa na Human Rights Watch kama udikteta.

Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Emomali Rahmon kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.