Ella Ailko Anderson

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ella Aiko Anderson (alizaliwa Ypsilanti, katika jimbo la Michigan, 26 Machi 2005) ni muigizaji wa Marekani ambaye anajulikana kama piper hart. Aliigiza kwa filamu ijulikanayo kama Henry Danger. Pia yeye huimba nyimbo.

Jina La kubandikwa: Elaphant.

Talanta na filamu[hariri | hariri chanzo]

Mama yake anaitwa Rebecca Anderson lakini baba yake hajulikani.

Alipokuwa na miaka mitano mkurugenzi wa kampuni ya uigizaji, alimweka kweye vikundi vya uigizaji.

Ana kaka wawili pacha Gabriel and Julian wanaoishi Los Angeles.

Anapenda sana wanyama kama mbwa. Pasha na Oliva ni majina ya mbwa awapendao na alionao.

Filamu[hariri | hariri chanzo]

1.The last man standing (2011)

2.Dog with a blog (2013)

3.liv and maddie(2013)

5.law and order (2014)

6.whisker haven (2015)

7.henry danger (2014-2021)

8.unfinished business

9.the boss

10.kristen Bell

11.mothers Day

12.The glass casty

13.rising hope (2012)

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ella Ailko Anderson kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.