Elinor Byrns

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Elinor Byrns

Elinor Byrns (1876 - Mei 27, 1957) alikuwa mwanasheria wa Marekani, mpigania amani, na mtetezi wa haki za wanawake, mwanzilishi mwenza wa Women's Peace Society na muungano wa amani ya wanawake Women's Peace Union. .

Maisha ya awali na elimu[hariri | hariri chanzo]

Elinor Byrns alizaliwa Lafayette, Indiana mnamo 1876, alisomea shule ya Girls' Classical School huko Indianapolis,[1] na kuhitimu kutoka Chuo kikuu cha Chicago mwaka 1900.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Elinor Byrns kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.