Elementi ya kundi la 11

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Elementi za kundi la 11 (pia: kundi la shaba) katika mfumo radidia zaunganisha elemti zifuatazo:

  • shaba (au kupri)
  • fedha (au ajenti)
  • dhahabu (au auri)
  • roentgeni ambayo ni elemnti sintetiki iliyotengenezwa mara ya kwanza mwaka 1994.

Zote ni elementi bwete zisizomenuki haraka kwa hiyo zinafaa kwa sarafu. Roentgeni tu haina matumizi ya aina hii kwa sababu ya nusumaisha yake mfupi.