Elektrolaiti

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Elektrolaiti ni kemikali ambayo husafirisha mkondo wa umeme. Hutumika kwenye betri kufanya ioni zitiririke, na hivyo huzalisha mkondo wa umeme. Elektrolaiti huwa ioni kama ikiyeyushwa kwenye maji. Aghalabu vitu vinavyoyeyuka, kama chumviasidi na nyongo ni elektrolaiti

Elektrolaiti inayotumiwa katika "seli za kielektrolaiti" hubeba ioni kati ya elektrodi za seli. Elementi za kielekrolaiti zinaweza kutumiwa kuondokana na mambo yaliyojitokeza na kampaundi zilizomo katika mchanganyiko.

Mkusanyiko sahihi wa electrolaiti ni muhimu kwa fiziolojia.

Makala hii kuhusu mambo ya kemia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Elektrolaiti kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.