Nyongo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Nyongo (njano) katika ini lenye ugonjwa.

Nyongo ni kimiminika cha njano chenye ukijani ambacho husaidia kumeng'enya mafuta. Kwa wanyama wengi wenye uti wa mgongo kinazalishwa kwenye ini na hutunzwa kwenye kifuko cha nyongo. Pia nyongo hutunzwa kwenye mirija ya nyongo.

Vitu vinavyounda nyongo ni:

Mara nyingi baada ya kupandikiza ini, nyongo hutoka nje ya mwili.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Bowen, R. (2001-11-23). "Secretion of Bile and the Role of Bile Acids In Digestion". Colorado State Hypertextbook article on Bile. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 29 May 2007. Iliwekwa mnamo 2007-07-17.  Check date values in: |archivedate= (help)
  • Krejčí, Z; Hanuš L.; Podstatová H.; Reifová E (1983). "A contribution to the problems of the pathogenesis and microbial etiology of cholelithiasis". Acta Universitatis Palackianae Olomucensis Facultatis Medicae 104: 279–286. PMID 6222611. 
  • Maton, Anthea; Jean Hopkins; Charles William McLaughlin; Susan Johnson; Maryanna Quon Warner; David LaHart; Jill D. Wright (1993). Human Biology and Health. Englewood Cliffs, New Jersey, USA: Prentice Hall. ISBN 0-13-981176-1. 
Makala hii kuhusu mambo ya biolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nyongo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.