El Chavo del Ocho
Mandhari
El Chavo del Ocho ni safu ya vipindi vya vichekesho vya televisheni kutoka Mexiko ambayo imeundwa na Roberto Gómez Bolaños na kufanyika kwenye Televisa kuanzia tarehe 26 Februari 1973 hadi 7 Januari 1980.
Wahusika wa mfululizo huo ni El Chavo del Ocho, Quico, La Chilindrina, Doña Nieves Don Ramón, Doña Florinda, Popis, Profesor Jirafales, Señor Barriga, Ñoño, Doña Clotilde, Godínez na Jaimito.
Viungo vya Nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu kipindi fulani cha televisheni bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu El Chavo del Ocho kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |